Kassim kayira biography of barack


  • Kassim kayira biography of barack
  • Kassim kayira biography of barack gas...

    Kassim kayira biography of barack

  • Kassim kayira biography of barack
  • Kassim kayira biography of barack obama
  • Kassim kayira biography of barack gas
  • Biography of barack obama
  • Kassim kayira biography of barack trump
  • MTANGAZAJI wa kimataifa, Kassim Kayira ndiye anayetupambia ukurasa huu. Anasimulia kila kitu kuhusu maisha yake, tangu kuzaliwa hadi alipo sasa.

    Ni simulizi tamu, yenye kusisimua na iliyojaa mafunzo mengi kuhusu maisha na mafanikio.

    Mitihani, misukosuko, mihangaiko, mateso na mikikimikiki aliyokutana nayo, ndiyo imekuwa chachu na ngazi muhimu ya kumfikisha hapo alipo sasa.

    Hii ni sehemu ya pili ya simulizi hii.

    Wiki jana, nilieleza hatua kwa hatua tangu wakati nampokea kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar ambapo mazungumzo yanaanzia kwenye gari, kuelekea yaliko makao makuu ya kituo chake kipya cha kazi, Azam TV, Ilala jijini Dar.

    SASA ENDELEA…

    ELIMU

    “Sawa, nimekuelewa sasa, nitakupigia tena badaye, niko na mazungumzo muhimu hapa,” anasema Kayira kupitia simu, akimpa maelekezo mtu aliyekuwa akizungumza naye.

    “Basi, kwa hiyo mimi nilianza kusoma mwaka 1979 katika Shule ya Msingi Mbarara, lakini sikufika hata dar